DOWNLAOD | TRADING PSYCHOLOGY | FREE BOOK

 


Nimewahi kusema na leo narudia kusema, Haijalishi  Mentor wako ni nani lakini kama umeshindwa kuelewa PSYCHOLOGY inafanya vipi kazi na ukashindwa KUCONTROL hisia zako  basi utaendelea kupoteza pesa 


Strategy nzuri yoyote ni lazima iendane na PSYCHOLOGY ili komaa ,na hii ndo sababu ya kwanini unatakiwa kuwa na experience na kukaa katika chart huku ukirekodi trades zote 

Soma kitabu hiki chote Reactions

Post a Comment

0 Comments