KISWAHILI FOREX 101 -FULL COURSE |PA STRATEGY


Hii ni course ambayo nimeiandaa kwa wanaonza lakini pia ambao wapo sokoni na hawajaanza kuona faida sokoni 

Katika course hii utajifunza kila kitu unachohitaji kukifahamu ili uweze kutengeneza pesa sokoni katika biashara ya forex,kuanzia forex ni nini mpaka money management 

Uhitaji kuwa na maarifa kuhusu forex au degree ya uchumi, katika videos utajifunza kila kitu taratibu kila baada ya episode 

Videos zimepangiliwa kuanzia video ya kwanza mpaka mwisho ,kama utafeli sehemu yoyote basi hakikisha unatupigia 0754958520 

NAMNA YA KUNUNUA 

utabonyeza link hapa chini ya post BUY NOW na kisha chagua REQUEST ACCESS na kisha tutumie email yako katika WhatsApp na sisi tutaruhusu wewe kudownload video hiyo katika simu yako 

Lakini pia unaweza kulipia kwanza na kututumia screenshot ya malipo na kisha utatuambia ni course ipi unataka kununua na kisha utaenda na kudownload baada ya sisi kukupa ACCESS

BEI 

Kama nilivyoeleza mwaka 2021 utakuwa mwaka wa kusaidia zaidi, Na tumeanza kwa kupunguza gharama ya mafunzo kutoka  230,000tzs mpaka 70,000tzs

Forex 101 - FULL COURSE itauzwa kwa 70000tzs  ikiwa na episodes zote kuanzia mwanzo mpaka mwisho ,Hapa utajifunza vitu ambavyo sijawahi fundisha katika YouTube na vitakuwa very exclusive 

Utaweza kuuliza swali popote pale ambapo huelewi na tutakujibu

Tutaandaa pia zoom meetings kila weekend kujibu maswali na kufanya uchambuzi kwa vitendo 


FOREX 101 - EPISODE 1 


FOREX 101 - EPISODE 2

FOREX 101 - EPISODE 3


FOREX 101 - EPISODE 4 

FOREX 101 - EPISODE 5

FOREX 101 - EPISODE 6

FOREX 101 ~ EPISODE 7


FOREX 101 ~ EPISODE 8

FOREX 101 ~ EPISODE 9


FOREX 101 ~ EPISODE 10

FOREX 101 ~ EPISODE 11

FOREX 101 - EPISODE 12

FOREX 101 ~ EPISODE 13


FOREX 101 ~ EPISODE 14FOREX 101 ~ EPISODE 15FOREX 101~ EPISODE 16

FOREX 101 ~ EPISODE 17

Reactions

Post a Comment

0 Comments