DOWNLOAD | FOREX KISWAHILI FOR BEGINNERS | FREE EBOOKHiki ni Notebook  katika lugha ya kiswahili ambacho kinaelezea basics za forex, Ni kitabu kizuri sana kwa mtu yoyote ambaye hana muongozo wa kujua aanzie wapi kusoma 

Forex ni biashara pana sana na inahitaji maarifa ya kutosha, kitabu hiki kitakupa mwongozo wa kufahamu vitu vya msingi ambavyo unavihitaji ili kuwa profitable katika biashara hii


Unaweza Kupakua/Download kupitia link hapa chini usisahau Kutufatilia pia katika page yetu ya facebook ili kujifunza mengi zaidi @fradomasterclass 

Reactions

Post a Comment

0 Comments