PA ANALYSIS ON VOLATILITY INDEX 25

 Watu wengi hufanya makosa yanayojirudia katika soko kwasababu wanashindwa kuwa na records za trades zao ,wanashindwa kuwa na records za trades zao kwasababu wana trade kila kitu lakini pia kwa entry tofauti kwa kila pair 

Angalia njia rahisi unayoweza kuitumia katika kufanya uchambuzi wa vix25 

USISAHAU pia kununua course ya FOREX 101 kwa bei ya kupunguzo kutoka 230000tzs mpaka 70000tzs na baada ya hapo kuwa chini yetu  

Reactions

Post a Comment

0 Comments