CHART ANALYSIS : 10.06.2021

 GBPUSD ANALYSIS 

Tunaamini price inaweza kushuka chini baada ya kufuka katika upper zone kufanya collection ya baadhi ya liquidity kabla haijaendelea juu

Always Market ili ifanye swing lazima iwe na liquidity ya kutosha ni vyema kufahamu hiyo liquidity inatoka wapi kabla hujaswing TUNAWAKUMBUSHA PIA WALE WOTE WANATAKA KUFAHAMU KUHUSU CRYPTOCURRENCY TUPO NJIANI KUANDAA DARASA LA CRYPTOS

Reactions

Post a Comment

0 Comments