SHITCOINS CRYPTO TRADING FULL COURSE


 Watu wengi wanafahamu kuhusu cryptocurrencies lakini likija swala la shitcoins ni watu wachache sana ambao wanafahamu ukubwa wa biashara hii 

Kuna pesa nyingi sana zaidi ya pesa ambazo utapata ukiwa unatrade bitcoin au Ethereum na crypto zingine kubwa kubwa, Shitcoins zinafaida kubwa sana sana

Pengine unajiuliza shitcoins ni nini, lakini ukweli ni kuwa shitcoins ni cryptos ambazo zinakuwa na thamani ndogo sana na maranyingi zinakuwa hazina project ya maana sana 

Shitcoins zina uwezo wa kukimbia hata zaidi ya mara 10 ndani ya muda mfupi kitu ambacho ni kigumu sana katika bitcoins na coins zingine ambazo sio shitcoins 


Nimekuandalia videos ambazo zitakusaidia ni wapi unaweza kununua shitcoins lakini pia njia zipi za kufanya utengeneze faida kwa urahisi, katika videos hizi utasoma kila kitu kuhusu shitcoins 


SHITCOINS - EPISODE 01 DOWNLOAD πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


SHITCOINS ~ EPISODE 02 DOWNLOAD πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


SHITCOINS ~ EPISODE 03 DOWNLOAD πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡SHITCOINS ~ EPISODE 04 DOWNLOAD πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


SHITCOINS ~ EPISODE 05 DOWNLOAD πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡SHITCOINS ~ EPISODE 06 DOWNLOAD πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Reactions

Post a Comment

0 Comments