DAG/ Crypto ambayo kila Mtu anapaswa kununua


Katika ulimwengu huu wa blockchain uwezo mkubwa wa kupredict future ni silaha kubwa sana katika mafanikio 

nimekueletea fursa nyingi kama ilivyo kawaida yangu ni crypto inayoitwa DAG chini ya constellation network ambayo ina lengo kubwa la kusolve  tatizo la scalability katika blockchain 


DAG Ni moja ya project nzuri sana ambayo ina future nzuri mno 

Download kitabu chao hapa chini 

Reactions

Post a Comment

0 Comments