Kitabu cha Forex chenye kila kitu-Download PDFMwanzo wa jambo lolote sikuzote kuna ugumu lakini katika forex kitabu hiki kitafanya uilewe forex ndani ya kitabu kimoja 


Miaka kadhaa nyuma nilianza rasmi kujifunza forex kupitia vitabu na YouTube, lakini changamoto kubwa ilikuwa kupata kitabu kimoja ambacho kingenisaidia kunielewa forex kwa ndani 


Nilisoma vitabu vingi lakini bado nikawa na uhitaji wa kusoma zaidi ili nipate maarifa zaidi na kutengeneza pesa 


Vitabu vingi katika forex havina kila kitu na hivyo watu wengi kushindwa kuelewa waanzie wapi kusoma forex na hasa katikat msingi 


Watu wengi wanasema vitabu lakini bado hawaoni faida na ndio maana nikaona niandike kitabu changu mwenyewe chenye kurasa zisizopungua 300 ambapo utaanza kusoma FOREX ni nini mpaka jinsi ya kutengeneza fedha,kuhamisha kwenda katikat account yako, strategies n.k


Ni kitabu ambacho kila trader anakihitaji kitabu cha kwanza cha forex kuandikwa na Mtanzania ,kitabu ambacho kitabadili mtazamo wako katika biashara hii


Unaweza kukipata kwa kulipia 25000/= softcopy kupitia lipa namba 5781599 Frank Phillibert   mitandao yote, Tuma screenshot ya Malipo WhatsApp 0754958520


Kwa kutumia lipa namba utakatwa sh 600 pekee tofauti na namba za kawaida 

Unaweza pia kuniuliza swali lolote kuhusu kitabu hiki 


DOWNLOAD HERE
Reactions

Post a Comment

1 Comments