Video | Hivi hivyo metaverse Ilivyo


 Naamini kama ni mfatiliaji mzuri wa makala zangu kupitia hapa bas utakuwa unafahamu hata kidogo kuhusu Metaverse 


Metaverse ni teknolojia mpya ambao Mtu yeyote anaweza kuvaa kifaa maalumu na kujiona yupo dunia nyingine kabisa 


VR HEADSET inasaidia kuweza kushirika katika virtual world ambapo kupitia Metaverse unaweza kuchagua kuwa nani katika project husika kupitia avatars kama tu unavyofanya wakati wa kucheza games 


Leo nitakuonyesha ni kwanini Metaverse itafanya vijana wengi kujiunga 


Tazama video hii hapa chini (VR headset ni kifaa hicho kinachovaliwa kichwani)
Reactions

Post a Comment

0 Comments