Jinsi ya kutengeneza NFTs bure na kuuza

 Dunia imebadilika na njia za kuingiza pesa pia zimeongezeka, Ujio wa teknolojia ya blockchain umepelekea mabadiliko mengi sana

 

Ukiachana na ujio wa bitcoin na cryptos kingine blockchain umeongeza upana wa vyanzo vya mapato hasa kupitia NFTs (Non fungible tokens )

 

Dunia ya NFT imekuwa kubwa zaidi hasa baada ya kuonekana kuwa celebrities wakubwa kama Garry Vee, Rogan paul, Snoop Dog kujiunga

 

NFTs ni picha, video au audio ambazo zinahifadhiwa kupitia minting katika blockchain husika na hivyo kufanya umiliki wake kuwa Not interchangeable

 

Changamoto kubwa ya kufanya minting ya NFT imekuwa katika gas fees (makato makubwa ) kitu ambacho kimekuwa kizingiti kwa watu wengi

 

Leo nimekuletea tricks ambazo unaweza kuzitumia ili kutengeneza NFT yako na kuuza

 

STEP 1 : Tengeneza account opensea au rarible

STEP 2 : Tengeneza picha audio au video ambayo unataka kumint kama NFT

STEP 3 : Kama ni rarible nedna SEHEMU ya upload then jaza nafasi zilizowazi,hakikisha umechagua LAZY MINTING na hii itakupa uwezo wa kufanya minting bila kulipia gas fees

 

Katika opensea, hakikisha katika option ya blockchain unachagua polygon ambayo ni bure bila malipo

 

Je umependa makala hii ? basi nitumie email kwenda fradotraining@gmail.com  kupata offers nyingi zaidi

Karibu sana

 


Reactions

Post a Comment

1 Comments