Tengeneza kipato mtandaoni bila jasho | CPA GRIP

CPA GRIP NI NINI?

CPA GRIP ni website ambayo inajihusisha na CPA affliates marketing

AFFLIATE MARKETING ni kitendo cha kuuza bidhaa ya mtu mwingine na kulipwa asilimia fulani ya mauzo (commission )

CPA ni cost per action na hivyo basi katika CPA affliate unalipwa commission kama mteja wako atafanya kile ambacho advertiser anataka mteja afanye

Kwa mfano, kuna offers ambazo ili ulipwe lazima mteja wako awe amedownload app na ku sign up na hapo utalipwa kiasi kulingana na pesa offer yenyewe

Hivyo basi Affliate marketing ni sawa na kuwa dalali wa bishaa

KWANINI CPA GRIP?
changamoto kubwa katika nchi yetu hii ni njia za kutoa pesa katika biashara za mtandaoni

Katika CPA grip unaweza kutumia payonner ambayo hata Tanzania pia ipo (Nitaelekeza sikumoja kufungua account ya payonner )

uhitaji kutoka jasho kutafuta wateja ili ulipwe hapana !!!!

kazi yako ni kucopy link na kuanza kusambaza katika magroup mbalimbali kwa kutumia maneno ambayo yatamshawishi mteja kucomplete ACTION ili ulipwe (Hapa unahitaji maarifa ya copywriting pamoja na digital marketing )

Kadri watu wengi wanavyo complete actions basi ndivyo utakavyolipwa zaidi

JINSI YA KUFUNGUA ACCOUNT ?

Ni rahisi sana kufungua account kupitia CPA GRIP

click link hii hapa na uanze kujaza majina, email na anuani bila kupoteza muda wako

Bonyeza link🤝👇

OPEN CPAGRIP ACCOUNT 

#makemoneyonline
Reactions

Post a Comment

0 Comments