Top gainers cryptos | Cryptos zenye faida zaidi Leo

 Je umewahi kufikiria ni namna gani unaweza kufanya day trading katika cryptocurrencies na kutengeneza pesa nzuri tu ?


Achana na trading platforms kama meta trader 4 na 5 ambapo cryptos kama BTC na ETH zinakuwa traded 24/7 in pairs e.g BTCUSD na ETHUSD 


ukweli ni kuwa 


Pesa nyingi hasa katika daytrading ya crypto ipo katika coins ambazo hazijulikani kabisa na wengine wanaziita shitcoins 


sisemi kwamba coins kubwa kama BTC,ETH na zingine hazina pesa ,Laa hasha zinachukua muda ili kutengeneza pesa 


Leo 20 Feb 2022 kupitia coinmarketcap hii ndo list ya coins /tokens ambazo ni top gainers 


1. Australian crypto coin green (ACCG)

2. Metapay 

3. Meta dragon city

4. Doge rise up 

5. Meta dogecolony 

6. cryptocars 

7. lily finance 

8. scream 

9. verse 

10. NuriFootball


Je utazifahamu vipi coins au tokens hizi zenye potential kubwa zaidi ? 


Join #fradomasterclass  course inaitwa SHITCOINS TRADING 


Reactions

Post a Comment

0 Comments