SABABU |Demo haitakusaidia katika forex (MUST READ)

 By fradofx  

Nakumbuka miaka kadhaa nyuma nikiwa mgeni katika biashara hii ya forex,nikiwa na kiu ya kuifahamu forex bila kujua napitia wapi ili kufikia ninapotaka 


Nikakutana na group moja la Nigerians  wakawa wanazungumzia demo account, wakasema kuwa kabla hujaweka pesa forex unaweza kuanza na demo account 


Wakaongeza pia kuwa demo yenyewe  inatumika sana kufanyia mazoezi ili ukiingia katika real account unaanza kupiga pesa za kweli kweli 


Baada ya miaka kadhaa kupita nikagundua kuwa watu wengi wanadanganywa sana na demo account, demo account imefanya traders wengi wageni/newbies kupoteza pesa katika real 


Watu wanadanganywa na demo account kwasababu hawajafahamu  njia sahihi ya kutumia demo account,leo nitaweka wazi makosa makubwa  ambayo yanaweza yakafanya demo account isiwe na maana 


1~Balance /Mtaji : watu wengi sana hawajafahamu kuwa mtaji ambao unaweza kuanza nao katika real account ni vyema ukashabiiana na demo account 


Tatizo ni kuwa wengi hawajui ni namna gani unaweza kufungua demo account yenye mitaji midogo kama dola 10 au 100 kwasababu meta trader demo zinaanza na dola 3000


Njia rahisi ni kupitia broker anayeitwa templerfx ambaye anakupa njia ya kufungua demo account na kukupa login ambazo utazitumia katika meta trader 4


Unaweza kufungua account kupitia templer kupitia link hii hapa 👇👇👇https://dashboard.templerfx.com/login/sign_up/19899

FUNGUA ACCOUNT HAPA

2 – No Money management : katika demo hutumii pesa yako na hivyo sio rahisi kabisa kuwa na money management na hivyo basi unahitaji discpline kubwa sana 


3- Matumizi mabaya ya leverage:  Hii sio sababu muhimu sana lakini ni vyema kutumia leverage ambazo zinaendana katika demo na hata real account 


Katika demo unafanya mazoezi na katika real unaenda kutumia maarifa  uliyopata katika demo na hivyo ni vyema vikashabiana


Huwezi kutrade dola 10000 katika demo halafu real ukadepost dola 10,hii itapelekea tamaa ya faida kama ambazo ulipata katika demo na hivyo kuchoma account 

OPEN ACCOUNT HERE

Be disciplined 


WhatsApp 0754958520

Training and mentorship 

Reactions

Post a Comment

1 Comments

  1. Big gup kwa kutukumbusha...lakini mm nina swali..ni namna gani unaweza ondoa mihemko ya kupata fedha nyingi mapema kweny fx ili kuondoa kuchoma account sana

    ReplyDelete