Broker Bora zaidi katika forex kwa Tanzania

 BROKER AMBAYE ATAKURUHUSU KUTOA PESA NA KUWEKA PESA KWA MPESA BILA KUPITIA AGENT Unapoanza forex changamoto kubwa sana ni kujua broker gani anafaa na yupi hatufai, mara nyingi tunatumia kigezo cha broker kama sababu ya kupoteza pesa 


Ukweli ni kuwa broker ni sehemu ya mafanikio ya trader yoyote lakini maarifa ndo silaha kubwa zaidi 


Leo nitakuonyesha ni broker gani ambaye anakufaa  haswa kama ni Mkazi wa Tanzania 


Brokers wazuri wapo wengi ila leo nimekuletea brokers wawili ambao tayari nimefanya utafiti na kugundua kuwa ni brokers wazuri sana


Leo nimekupetea brokers wa currencies ambao unaweza kuweka pesa kupitia MPESA 


Broker 01 

FUNGUA AKAUNTI


Broker 02

FUNGUA AKAUNTI 2

Reactions

Post a Comment

0 Comments