FradoFx podcast - Free Forex Guide

 

Habari

Ukweli ni kuwa asilimia kubwa ya watu bado hawafahamu undani wa biashara ya forex 

Wengi wamekuwa na mitazamo ambayo imepelekea kupoteza pesa nyingi katika biashara hii 

Hii ndio sababu kubwa ya mimi kuandaa podcast hii 

Podcast ya kwanza Tanzania ambayo inaondoa ukungu wote kuhusu biashara hii yenye utajiri mkubwa zaidi duniani kote 

Jiunge na mimi katika podcast hii ili ujifunze zaidi 

Bonyeza "SIKILIZA PODCAST " hapa chini kuanza kujifunza biashara hii na kuondoa mitazamo ukungu 👇

SIKILIZA PODCASTReactions

Post a Comment

0 Comments